Tuesday, 21 July 2020


       

TANGAZO  TANGAZO  TANGAZO TANGAZO  TANGAZO   TANGAZO  TANGAZO  TANGAZO


IFUATAYO NI HORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA  MPANDA
http://www.mpandadc.go.tz/announcement/tangazo-la-nafasi-za-kazi-halmashauri-ya-wilaya-ya-mpanda

Wednesday, 28 August 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda yaibuka kidedea maonyesho ya Kilimo Nanenane 2019 Mjini Mbeya

           
                    Wiongozi wa Tanganyika wakishangilia ushindi wa Nanenane 2019 jijini Mbeya.

Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda yaibuka kidedea maonyesho ya Kilimo Nanenane 2019 Mjini Mbeya

 

Viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpamda wakishangilia kombe la ushindi wa maonesho ya NANENANE 2019. Mpanda DC imeibuka mshindi wa kwanza kati ya Halmashauri 40 za Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania. Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Mhando, Mhe. Hamad Mapengo(Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya), Leonard Nyanza (CC), Bw. Romuli Rojas John (Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda na Mhe. Theodora Kisesa (Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda).

Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda yaibuka kidedea maonyesho ya Kilimo Nanenane 2019 Mjini MbeyaViongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wakikagua mashine ya kukamua mafuta ya alzeti wakati wa maonesho ya Nanenane 2019 jijini Mbeya.

Saturday, 9 March 2019

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA YATIKISA KATIKA UINGIZAJI WA TAARIFA ZA SHULE


SEMINA YA MAFUNZO YA VISHIKWAMBI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA

Walimu wa Shule za Msing Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda wakisikiliza mafunzo ya namana ya kutumia kishikwambi (tablet). walimu hao wamewezeshawa kutumia taarifa muhimu kutoka shule walizopo moja kwa moja kupitia vishikwambi walivyopewa kwa matumizi ya kutunza taarifa za shule zao.Mafunzo hayo ya siku nne yaliyofadhiliwa kupitia programu ya EQUIP Tanzania yalianza tarehe 4/03/2019 na yatakamilika 8/03/2019Friday, 1 February 2019

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPNDA YAJIPANGA KIKAMILIFU KUIMARISHA MBINU ZA UFUNDISHAJI MASHULENI.

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPNDA YAJIPANGA KIKAMILIFU KUIMARISHA MBINU ZA UFUNDISHAJI MASHULENI.

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mpanda (wa kwanza kutoka kulia) akiongozana na afisa elimu msingi Bw. Kenny Shilumba na sisita Rose Sungura wakiangalia zana za kufundishia wanafunzi wa awali na darasa la kwanza. Mafunzo hayo yameratibiwa na OR-TAMISEMI kwa kushirikiana EQUIP- Tanzania. Jumla ya walimu 82 na maafisa elimu wa kata 13 wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuinua elimu katika wilaya ya Tanganyika.

NIMWENDO WA JET KWENYE UJENZI WA MADARASA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA NIMWENDO WA JET KWENYE UJENZI WA MADARASA
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda Bw. Romuli Rojas John (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na afisa mipango Bw. Dotto Kwigena na Afisa elimu sekondari Bw. Michael Lyambilo, wakiteta jambo katika eneo la ujenzi wa sekondari Sibwesa. Siku hiyo uongozi wa mkoa wa Katavi na wilaya ya Tanganyika walifika kuona hatua ya ujenzi wa shule mpya ili ziweze kufunguliwa na kuchukua wanafunzi 2019.